\v=13 \v~=Kila mmoja anayekwenda upande wa wale waliokwisha hesabiwa atatoa nusu shekeli,\f + \fr 30:13 \ft Nusu shekeli ni sawa na gramu 6.\f* kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, ambayo ina uzito wa gera ishirini.\f + \fr 30:13 \ft Gera 20 ni sawa na shekeli moja au gramu 12.\f* Hii nusu shekeli ni sadaka kwa \nd Bwana\nd*. \¬v