\v=15 \v~=Matajiri hawatalipa zaidi ya nusu shekeli, nao maskini hawatatoa pungufu wakati mnatoa sadaka kwa \nd Bwana\nd* kwa kufanya upatanisho wa nafsi zenu. \¬v