\v=2 \v~=Madhabahu hayo yawe mraba, urefu na upana wake dhiraa moja,\f + \fr 30:2 \ft Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45.\f* na kimo cha dhiraa mbili,\f + \fr 30:2 \ft Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90.\f* nazo pembe zake zitakuwa kitu kimoja nayo. \¬v