\v=23 \v~=“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500\f + \fr 30:23 \ft Shekeli 500 ni sawa na kilo 6.\f* za manemane ya maji, shekeli 250\f + \fr 30:23 \ft Shekeli 250 ni sawa na kilo 3.\f* za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri, \¬v