\v=24 \v~=shekeli 500 za aina nyingine ya mdalasini, vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, pia hini\f + \fr 30:24 \ft Hini moja ni sawa na lita 4.\f* ya mafuta ya zeituni. \¬v