\v=37 \v~=Msitengeneze uvumba mwingine wowote wa namna hii kwa ajili yenu wenyewe; uoneni kuwa ni mtakatifu kwa \nd Bwana\nd*. \¬v