\v=8 \v~=Itampasa afukize uvumba tena wakati anapowasha taa wakati wa machweo ili uvumba ufukizwe daima mbele za \nd Bwana\nd* kwa vizazi vijavyo. \¬v