\v=13 \v~=“Waambie Waisraeli, ‘Ninyi ni lazima mzishike Sabato zangu. Hii itakuwa ni ishara kati yangu na ninyi kwa ajili ya vizazi vijavyo, ili mpate kujua kwamba Mimi Ndimi \nd Bwana\nd*, niwafanyaye ninyi watakatifu. \¬v \¬p