\v=15 \v~=Kwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba ni Sabato ya kupumzika, takatifu kwa \nd Bwana\nd*. Yeyote afanyaye kazi yoyote siku ya Sabato ni lazima auawe. \¬v