\p \v=18 \v~=\nd Bwana\nd* alipomaliza kusema na Mose juu ya Mlima Sinai, Mungu akampa vile vibao viwili vya Ushuhuda, vibao vya mawe vilivyoandikwa kwa kidole cha Mungu. \¬v \¬p \¬c