\p \v=11 \v~=Lakini Mose akamsihi \nd Bwana\nd* Mungu wake, akasema, “Ee \nd Bwana\nd*, kwa nini hasira yako iwake dhidi ya watu wako, wale uliowatoa Misri kwa uweza mkuu na mkono wenye nguvu? \¬v