\p \v=27 \v~=Ndipo alipowaambia, “Hili ndilo \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli asemalo: ‘Kila mmoja wenu ajifunge upanga wake kiunoni aende huku na huko kambi yote mwisho hadi mwisho mwingine, kila mmoja amuue ndugu yake, na rafiki yake na jirani yake.’ ” \¬v