\v=29 \v~=Kisha Mose akasema, “Leo mmewekwa wakfu kwa \nd Bwana\nd*, kwa kuwa mlikuwa kinyume na wana wenu wenyewe na ndugu zenu, naye Mungu amewabariki leo.” \¬v \¬p