\p \v=30 \v~=Siku iliyofuata Mose akawaambia watu, “Mmefanya dhambi kubwa. Lakini sasa nitapanda juu kwa \nd Bwana\nd*, labda nitaweza kufanya upatanisho kwa ajili ya dhambi yenu.” \¬v \¬p