\p \v=31 \v~=Hivyo Mose akarudi kwa \nd Bwana\nd* na kumwambia, “Lo! Hawa watu wamefanya dhambi kubwa namna gani! Wamejitengenezea miungu ya dhahabu. \¬v