\p \v=35 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* akawapiga watu kwa ugonjwa wa tauni kwa sababu ya yale waliyoyafanya kwa ndama yule ambaye alitengenezwa na Aroni. \¬v \¬p \¬c