\p \v=5 \v~=Aroni alipoona hili, akajenga madhabahu mbele ya yule ndama na kutangaza, “Kesho kutakuwa na sikukuu kwa \nd Bwana\nd*.” \¬v