\p \v=7 \v~=Kisha \nd Bwana\nd* akamwambia Mose, “Shuka, kwa sababu watu wako, uliowatoa Misri, wamepotoka. \¬v