\p \v=17 \v~=\nd Bwana\nd* akamwambia Mose, “Nitakufanyia jambo lile uliloomba, kwa sababu ninapendezwa nawe, nami ninakujua kwa jina lako.” \¬v \¬p