\p \v=19 \v~=Ndipo \nd Bwana\nd* akasema, “Nitapitisha wema wangu wote mbele yako, nami nitalitangaza Jina langu, \nd Bwana\nd*, mbele ya uso wako. Nitamrehemu yeye nimrehemuye, na pia nitamhurumia yeye nimhurumiaye.” \¬v