\v=24 \v~=Nitawafukuza mataifa mbele yako na kupanua mipaka ya nchi yako, wala hakuna mtu yeyote atakayeitamani nchi yako wakati unapokwenda mara tatu kila mwaka kuonana na \nd Bwana\nd* Mungu wako. \¬v \¬p