\v=28 \v~=Mose alikuwa huko pamoja na \nd Bwana\nd* kwa siku arobaini usiku na mchana bila kula chakula wala kunywa maji. Naye akaandika juu ya vibao maneno ya Agano, yaani zile Amri Kumi. \¬v \¬p