\v=34 \v~=Lakini kila wakati Mose alipoingia mbele za \nd Bwana\nd* kuzungumza naye, aliondoa ule utaji mpaka alipotoka nje. Naye alipotoka nje na kuwaambia Waisraeli lile ambalo ameagizwa, \¬v