\p \v=4 \v~=Kwa hiyo Mose akachonga vibao viwili vya mawe kama vile vya kwanza, naye akapanda juu ya Mlima Sinai asubuhi na mapema, kama \nd Bwana\nd* alivyokuwa amemwagiza, akachukua vile vibao viwili vya mawe mikononi mwake. \¬v