\v=5 \v~=Kisha \nd Bwana\nd* akashuka katika wingu akasimama pamoja naye huko, akalitangaza jina lake, \nd Bwana\nd*. \¬v