\v=9 \v~=Mose akasema, “Ee \nd Bwana\nd*, kama nimepata kibali mbele zako, basi \nd Bwana\nd* uende pamoja nasi. Ingawa watu hawa ni wenye shingo ngumu, samehe uovu wetu na dhambi yetu, tuchukue kuwa urithi wako.” \¬v \¬p