\v=2 \v~=Kwa siku sita, mtafanya kazi, lakini siku ya saba itakuwa takatifu kwenu, Sabato ya kupumzika kwa \nd Bwana\nd*. Yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo ni lazima auawe. \¬v