\v=24 \v~=Wale waliotoa sadaka ya fedha au shaba wakavileta kama sadaka kwa \nd Bwana\nd*, na kila aliyekuwa na mti wa mshita kwa ajili ya kazi yoyote ile akauleta. \¬v