\v=29 \v~=Waisraeli wote waume kwa wake waliokuwa wanapenda wakaleta mbele za \nd Bwana\nd* kwa hiari yao wenyewe sadaka kwa ajili ya kazi yote ya \nd Bwana\nd* aliyokuwa amewaagiza kuifanya kupitia kwa Mose. \¬v \¬p