\v=5 \v~=Toeni sadaka kwa \nd Bwana\nd* kutoka mali mliyo nayo. Kila mmoja aliye na moyo wa kupenda atamletea \nd Bwana\nd* sadaka ya dhahabu, fedha na shaba; \¬v