\p \v=2 \v~=Ndipo Mose akawaita Bezaleli na Oholiabu na kila mtu mwenye ustadi ambaye \nd Bwana\nd* alikuwa amempa uwezo na mwenye kupenda kuja na kufanya kazi. \¬v