\v=21 \v~=Kila mhimili ulikuwa na urefu wa dhiraa kumi,\f + \fr 36:21 \ft Dhiraa 10 ni sawa na mita 4.5.\f* na upana wa dhiraa moja na nusu,\f + \fr 36:21 \ft Dhiraa moja na nusu ni sawa na sentimita 67.5.\f* \¬v