\v=9 \v~=Mapazia yote yalitoshana kwa ukubwa: kila moja lilikuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane,\f + \fr 36:9 \ft Dhiraa 28 ni sawa na mita 12.6.\f* na upana wa dhiraa nne\f + \fr 36:9 \ft Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8.\f* \¬v