\v=12 \v~=Pia akatengeneza upapi wenye upana wa nyanda nne,\f + \fr 37:12 \ft Nyanda nne ni sawa na sentimita 8.\f* na kuufanyia ule upapi ukingo wa dhahabu kuuzunguka pande zote. \¬v