\p \v=29 \v~=Pia akatengeneza mafuta matakatifu ya upako, na uvumba safi wenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato. \¬v \¬p \¬c