\p \v=12 \v~=Upande wa mwisho wa magharibi ulikuwa na upana wa dhiraa hamsini\f + \fr 38:12 \ft Dhiraa 50 ni sawa na mita 22.5.\f* na ulikuwa na mapazia, na nguzo kumi na vitako vyake kumi, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo. \¬v