\v=14 \v~=Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano\f + \fr 38:14 \ft Dhiraa 15 ni sawa na mita 6.75.\f* yalikuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu. \¬v