\v=24 \v~=Jumla ya dhahabu iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa kwa ajili ya kazi ya mahali patakatifu ilikuwa na uzito wa talanta 29 na shekeli 730,\f + \fr 38:24 \ft Talanta 29 na shekeli 730 ni sawa na tani moja.\f* kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. \¬v \¬p