\p \v=25 \v~=Fedha iliyopatikana kutokana na jumuiya ya watu waliohesabiwa ilikuwa yenye uzito wa talanta mia moja na shekeli 1,775,\f + \fr 38:25 \ft Talanta 100 na shekeli 1,775 za fedha ni sawa na tani 3.4.\f* kulingana na shekeli ya mahali patakatifu. \¬v