\p \v=29 \v~=Shaba iliyopatikana kutokana na sadaka ya kuinuliwa ilikuwa na uzito wa talanta 70 na shekeli 2,400.\f + \fr 38:29 \ft Talanta 70 na shekeli 2,400 ni sawa na tani 2.4.\f* \¬v