\v=29 \v~=Mshipi ulikuwa wa kitani iliyosokotwa vizuri ya rangi ya buluu, na zambarau, na nyekundu, kazi ya mtarizi, kama \nd Bwana\nd* alivyomwagiza Mose. \¬v \¬p