\p \v=30 \v~=Kisha akatengeneza lile bamba, taji takatifu, kwa dhahabu safi na kuchora juu yake maneno haya kama vile muhuri huchorwa: \sc Mtakatifu kwa Bwana\sc*. \¬v