\v=34 \v~=kifuniko cha ngozi za kondoo dume kilichotiwa rangi nyekundu, kifuniko cha ngozi za pomboo,\f + \fr 39:34 \fq Pomboo \ft hapa ina maana ya mnyama mwenye ngozi laini aishiye kwenye milima yenye misitu, au pengine nguva au sili. \f* pazia la kufunikia; \¬v