\p \v=42 \v~=Waisraeli walikuwa wamefanya kazi yote sawasawa na vile \nd Bwana\nd* alivyokuwa amemwagiza Mose. \¬v