\v=43 \v~=Mose akakagua kazi na kuona kuwa walikuwa wameifanya sawasawa kama vile \nd Bwana\nd* alivyokuwa ameagiza. Kwa hiyo Mose akawabariki. \¬v \¬p \¬c