\p \v=15 \v~=Vilevile Mungu akamwambia Mose, “Waambie Waisraeli, ‘\nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo amenituma kwenu.’ Hili ndilo Jina langu milele, Jina ambalo mtanikumbuka kwalo kutoka kizazi hadi kizazi. \¬v \¬p