\p \v=16 \v~=“Nenda, ukawakusanye wazee wa Israeli, uwaambie, ‘\nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Isaki na Yakobo, alinitokea akaniambia: Nimewatazama, nami nimeona mliyofanyiwa katika Misri. \¬v