\v=2 \v~=Huko malaika wa \nd Bwana\nd* akamtokea Mose katika mwali wa moto kutoka kichakani. Mose akaona kwamba ingawa kile kichaka kilikuwa kinawaka moto, kilikuwa hakiteketei. \¬v