\p \v=10 \v~=Mose akamwambia \nd Bwana\nd*, “Ee Bwana, kamwe sijapata kuwa msemaji kwa ufasaha wakati uliopita wala tangu ulipoanza kuzungumza na mtumishi wako. Ulimi wangu ni mzito kuzungumza.” \¬v \¬p