\p \v=11 \v~=\nd Bwana\nd* akamwambia, “Ni nani aliyempa mwanadamu kinywa? Ni nani aliyemfanya mtu kuwa kiziwi au bubu? Ni nani anayempa mtu kuona au upofu? Je, si mimi, \nd Bwana\nd*? \¬v